palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
huyu neymar leo hamalizi 90 min
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiki kiungo cha Chile nilicho kiona mpaka sasa Brazil kwisha habari yake.
nenda kauchekie home.yaani hapa nimezungukwa na watu wa brazuu kelele kwa sana
hahahaaah,,,,,,kwa kuwa wanajua.
.Sijielewi hata nashabikia timu gani....Yani atakayeshinda sawa tuu....
Nakumbuka mwaka 2006 nilitoa chozi baada ya Brazil kutolewa...
Webb nae anakuwa na siku zake aisee ni bange huyu...!
team brazuu mna vipenga sana humu daaa
nenda kauchekie home.