Webb nae anakuwa na siku zake aisee ni bange huyu...!
Huyu Neymar wanataka atoke ndani ya kipindi cha kwanza. Chile wanaharibu mpira sana kwa style hii
hapana mkuu si unaona bao tumetia hapa dk ya 33, haya waseme tena
Jamaniiiiiiii nini tena
hahahaha leo brazil kabanwa mpaka basi chile wanacheza kama hawataki vile
Hii Bar yote hapa naona ni Brazil....Ndio maana najilazi...
Goooooooooo