World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Chilean wako vizuri sana, wanacheza mpira na kukaba maeneo yote hatari ya brazil then wako so fast kupenyeza passing ball.
Teamchile tutarajie maajabu toka kwa vijana wetu leo.

Tatizo beki zao hazijatulia....
 
Huyu Fred vipi jamani,katengewa na Neema,yaani kakoa kijinga kwa kweli
 
Chilean wako vizuri sana, wanacheza mpira na kukaba maeneo yote hatari ya brazil then wako so fast kupenyeza passing ball.
Teamchile tutarajie maajabu toka kwa vijana wetu leo.

leo ni burudani sana oya wale wa brazuu mko wapi?
 
Back
Top Bottom