Huyu Webb asipoharibu hili game kwa red card sijui
Nimekwambia hawatoki. Hii kiungo ya Chile ni noma.
hahahahahahahahahahaa
Nimekwambia hawatoki. Hii kiungo ya Chile ni noma.
Hahahaaah,,,,,,sijui ndio staili gani hii.Hii style ya kuonesha ududu hii.. Cheki sanchez
brazil weupe tu hawa wetu leo
Neymar atawaliza hawa.Hii beki ya chile hii siiamini kabisa..
#team Chile ushindi ni wetu.