teh teh brazil fan says.Brasil watapita tu,mpira dakika 90,120 na matuta ikibidi
Chilean wako vizuri sana, wanacheza mpira na kukaba maeneo yote hatari ya brazil then wako so fast kupenyeza passing ball.
Teamchile tutarajie maajabu toka kwa vijana wetu leo.
Ulikua wapi? Hadi mmepiga 1 ndo mnajitokeza hamjiamin eeeeeh
Haya mashindano yanaweza yasiendelee endapo Brazil watayaaga mashindano..
kuna bwa mdogo pale kati ametulia mpk raha yani!
Defence hii bora nikale kwanza
nasikia harufu ya red card
Chilean wako vizuri sana, wanacheza mpira na kukaba maeneo yote hatari ya brazil then wako so fast kupenyeza passing ball.
Teamchile tutarajie maajabu toka kwa vijana wetu leo.
Na viwanja vyote wachome moto .....sahau brazil kutoka
Ulikua wapi? Hadi mmepiga 1 ndo mnajitokeza hamjiamin eeeeeh