huyu webb asituletee zake atoe kadi
Yaani huyu sijui vipi,,,,,,Huyu Fred vipi jamani,katengewa na Neema,yaani kakoa kijinga kwa kweli
leo ni burudani sana oya wale wa brazuu mko wapi?
huyu webb asituletee zake atoe kadi
Brasil watapita tu,mpira dakika 90,120 na matuta ikibidi
ulichelewa wapi...?ujue unaweza lala na njaa yako!Defence hii bora nikale kwanza
ulichelewa wapi...?ujue unaweza lala na njaa yako!
Itawakosti sana mechi ijayo kama watavuka, maana mpaka sasa wachezaji wawili wanakosa next mechi.Huu mpira wa kibabe wa Chile utawafanya wapunguzwe...
Tupo mkuu. umemuona neymer?