Hahahahaha!Ndo maana yakeHizo dakika ni kwa Brazil tu?
Yaani huyu sijui vipi,,,,,,
Leo twamuua kipa ushindi lazima
Huu upuuzi ndio uliomfanya Mourinho ampige bei.D. Luiz anajifanya foward subiri apigwe counter attack.
uwanja kimya Brazil maji shingoni
Brazil wanakosaje pale?
Duuuh,,,,,,,,huyu neymar atawaliza hawa.
Neymer ni noma
Brazil wanakosaje pale?