palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
namsikiliza junihno hapa anasema brazil bado hawajacheza mpira mzuri.
Mkuu utafungiwa kupewa unyumba au....??? Sijaelewa
Down to the wire!Brazil gani hii?
Usikate tamaa kama sio 45 za pili subiri 30 za nyongeza au Penati, ila Brazil anatolewa tu na mpira wake wa kubahatisha huu.
inabidi tuwaombee wafunge,kufuta machozi gharama za maandalizi,teh,teh just robo final,only
Kuna watu wanachuki na Brazil sababu wengi wao ni Mashabiki wa timu zilizotoka tayari
Sababu tutashinda
South American football expert Tim Vickery: "It is going to be a tense, tense 45 minutes. Unfortunately I think the referee is out of his depth. Fernandinho clattered into a tackle early in the first half and there was no yellow card. That was the chance for Howard Webb to stamp his authority on the game.
"You can't referee this game like you do Premier League games and I think Webb is going to be in for a very tough 45 minutes."
ukiona unaota ndoto huku uko macho hizo ni dalili za kukumbwa na presha punde si punde na mapigo ya moyo kuongezeka.
mh nadhani kipind cha pili itakuwa ni kama third world war
Hawa brazili leo natabiri watang'olewa mashindanoni team yao this time sio kali kiivyo!
hasa hasa team-hispania,wana chuki mbaya sana na team ya dunia brazil
duuuh maana samba hatulioni kabisa
Kwanza kasajiliwa kutoka timu gani?
samahani mkuu naomba unikumbushe hii itakuwa mara ya ngapi brazil kuchukua kombekuna watu wanachuki na brazil sababu wengi wao ni mashabiki wa timu zilizotoka tayari