Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Wewe hebu nionee huruma hujui nitafungiwa miezi 7?
Mkuu utafungiwa kupewa unyumba au....??? Sijaelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hebu nionee huruma hujui nitafungiwa miezi 7?
Neymar ana msaada mdogo na fred kilaza
Haki mm sijui nashangilia timu ipi...
unalo leo na matokeo yanabaki hivi mpaka dk 90
Hebu kuwa na UTU hujui nitafungiwa miezi 7 ?
So far team zote zimeonyesha zina uwezo mkubwa sana hasa Chile
pele kawaaambia leo asubuhi brazil haina striker.
huzuni ishabisha hodi, jiandae
hii ilistahili hata iwe nusu fainali.....preussure mwanzo mwisho,Chile kweli wameonyesha ukomavu kwa kushambuliwa kule mwanzo na kurudisha goli....
Neymar ana msaada mdogo na fred kilaza
Unamuamini pelle? tokea aanze kutabir hajawah kupatia ana mawazo tenge
mmh una kiburi sana wewe ila dawa yako ipo subir second half
inabidi tuwaombee wafunge,kufuta machozi gharama za maandalizi,teh,teh just robo final,only
Haya mkuu pole zako bana lakini si ulijiombea mwenyewe?
Natabiri... Dakika tano za mwanzo za second half neymer atafanya yake
Neymar ana msaada mdogo na fred kilaza
mmh una kiburi sana wewe ila dawa yako ipo subir second half