World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

So far team zote zimeonyesha zina uwezo mkubwa sana hasa Chile

hii ilistahili hata iwe nusu fainali.....preussure mwanzo mwisho,Chile kweli wameonyesha ukomavu kwa kushambuliwa kule mwanzo na kurudisha goli....
 
inabidi tuwaombee wafunge,kufuta machozi gharama za maandalizi,teh,teh just robo final,only

mkuu mimi nadhani kandanda haiangalii wewe umeandaa ama wewe ni bingwa mtetezi ila inaangalia ujuzi, uwezo wa timu wakati huohuo makosa ya mpinzani wako
 
mmh una kiburi sana wewe ila dawa yako ipo subir second half

Usikate tamaa kama sio 45 za pili subiri 30 za nyongeza au Penati, ila Brazil anatolewa tu na mpira wake wa kubahatisha huu.
 
Back
Top Bottom