Offside
Dah mkuu moyo wangu kwa kweli daaaah halj mbaya sana tumbo linauma
Refa kawabeba
Brazil hii ni jina tu hawana jipya
Mkuu punguza pressure #TeamBrazil itashinda tu hii mechi.
Hapa refa kawabeba....hulk alitaka kuiifanya Maradona kufunga goli la mkono, Webb kaona.
Refa kawabeba
Huyu Webb.....!! Scolari naona kawa mkali sasa