World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hulk hajaunawa mpira,au nyie mmeonaje?Webb yeye kaona Hulk kaunawa
 
hand ball pale no utata.Webb awe anakuwa macho hivi Old Trafford pia
 
hulk alitaka kuiifanya Maradona kufunga goli la mkono, Webb kaona.
 
Webb leo anachezesha vzr sana hata tukitolewa hakuna kumlaumu itakua ni makosa tu ya kimchezo maana hata timu zimelingana uwezo
 
Back
Top Bottom