Nasikia harufu ya Brazil kufungwa hapa...
Naona brazil wameanza kuchoka.Wanatoa fouls nyingi
hakika mkuu labda wabebwe na fitina za fifa mwishoni
chezea pro manure wewe..Brazil wame-panic
Chillean must do something..
Brazil wame-panic
Brazil wame-panic
Hapa refa kawabeba....