World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Toa Neymar pia toa Hulk ingiza Willian na Ramirez waka drive mido iliyozidiwa sana na Sanchez na Vidal ili kidogo muende dakika 120,la sivyo Chile anamaliza game hii dakika ya 90 tu


Wewe umeongea muhimu yaani tangu mda huo nasema william wapiii au anachana afro yake.....
 
Back
Top Bottom