Na tukishinda nsikuone kusherehekea lol
Hawa ndio Brazil au tuwasubiri Brazil wengine.?
Presha inapanda na kushuka ni shida kwa kweli.
Hawa ndio Brazil au tuwasubiri Brazil wengine.?
Yaani amezungusha utafikili ana kadawa ka kienyeji bwanaDu huyu Alexis Sanchez na Vidal wanaua watu kiukweli
hivi punde tu tutakua tunashangilia
Haha tutatoka mafıchonıı tukıskıa Goal#team brazıl
Tupoooooo
teamchile tuhesabu bao la pili brazil wamechoka
ya nini mjifiche wenzenu tunakomaa hapahapa hadi mwisho.
Toa Neymar pia toa Hulk ingiza Willian na Ramirez waka drive mido iliyozidiwa sana na Sanchez na Vidal ili kidogo muende dakika 120,la sivyo Chile anamaliza game hii dakika ya 90 tu
Nasikia harufu kali ya Brazil kufungwa....
andybird314 naona kakimbia...