WamekusikiaToa Neymar pia toa Hulk ingiza Willian na Ramirez waka drive mido iliyozidiwa sana na Sanchez na Vidal ili kidogo muende dakika 120,la sivyo Chile anamaliza game hii dakika ya 90 tu
Chillean dominate the field..
#teamchille
tulisubirie kwa hamu mkuu hilo goli
Hahahaaah,,,,,sijui nina mkosi gani aisee.Mkuu halafu karibia timu zote unazoshabikia zinaangukia pua...
Bora uache kushabikia...
kiungo brazil kwisha habari yake. neymar haonekani kabisa second half
Aya Ramıres uyoo
Kama chile wangeanza kupata goli hii mechi ingeisha mapema sana