Mzee Wa Liverpool
Senior Member
- Jul 18, 2013
- 197
- 22
Chile kigogo cha vigogo. Brazil watakuwa next victims wa Chile kama Spain..... Wapenzi wa Brazil toka Bongo jiandaeni kutoa sababu.
Chile kigogo cha vigogo. Brazil watakuwa next victims wa Chile kama Spain..... Wapenzi wa Brazil toka Bongo jiandaeni kutoa sababu.
Brasil itafunga goli katika hizi dakika zilizosalia. Mark my words.
jipe matumainiBrasil itafunga goli katika hizi dakika zilizosalia. Mark my words.
Leo utaikimbia Brazil yako kama ulivyowakimbia Three lions lol