World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Chile kigogo cha vigogo. Brazil watakuwa next victims wa Chile kama Spain..... Wapenzi wa Brazil toka Bongo jiandaeni kutoa sababu.

wamo humu wapenzi wengi tu we subiri wakibahatika kagoli watakavyoibuka
 
Nimependa sana consistance ya chile wako vizuri sana hawa jamaa, wanaleta raha kwa kweli.
 
Mambo sio mazuri. Madame el Presidente.
BrPC6C6CEAAmmk9.jpg:large
 
Brazil hii ingekuwa inacheza WC hii nje ya Brazil wangekuwa wametoka longtime sana!!Team mbovu sana hii
 
Back
Top Bottom