we bwana nakusifu sana na una moyo mgumu! Wenzako wote wamejificha umebaki wewe tu hadi mtakapopata ushindi kama mtabebwa ndipo watajitokeza kwa fujo
Hivi huyu Fred hana "ushemeji" na kocha wa Brazil....?hakya nani huyu mi haniwezi kabisaa!
haitasaidia aisee..Mimi naona huenda wakaanza fujo humo uwanjani
we bwana nakusifu sana na una moyo mgumu! Wenzako wote wamejificha umebaki wewe tu hadi mtakapopata ushindi kama mtabebwa ndipo watajitokeza kwa fujo
haitasaidia aisee..
mimi nimesema.,,