World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

ile brazil ya kina dunga,roberto calos,de lima,rivaldo siioni tena miaka hii.
 
BAK,Edy n Ed,Skype...munaona tactic za wenzetu...mpira unafichwa sio Team Africa hatujui hat kucheza na muda tunakimbizana tuHatujui hapa tumezidiwa tujipange,uchoyo,umimi...dah hivi tutawahi kucheza hata fainali kweli?au tuanzishe kombe la dunia yetu Africa
 
Stress inaanza kupanda huko Brazil.

BrPHNupCcAMyyqC.jpg:large
 
wakienda Penalt hapa,Brazil natoka,maana nimemuona kipa wa Chile ni mzuri,wa Brasil hamna kitu
 
Back
Top Bottom