Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
da mkubwa unabana hadi penati?? Mejifunza! Halali mtu!
Leo tutashuhudia ufundi wa kupiga penalt kati ya Chile vs Brazil
Sijui kwa kweli wanachokifanya Brazil humu ndani
Webb naona anajitafutia maadui Brasil...wahuni wa Favela lazima wazae nae Brasil ikitoka...
ile brazil ya kina dunga,roberto calos,de lima,rivaldo siioni tena miaka hii.
Wanapita kati kati sana pale kwa Luiz na Thiago
Bora Webb kawaacha