SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,344
Jamani nisaidieni Brazil tunachukua hili doo kwa kwa mara ya ngapi
Wakichukua itakuwa "LA SIXTHA" kama Real Madrid walivyochukua "LA DECIMA" hahaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani nisaidieni Brazil tunachukua hili doo kwa kwa mara ya ngapi
Haki imetendeka.timu iliyocheza soka zaidi ndio imepita.Chile hawakuwa na jipya zaidi ya kupaki basi.ila ni lazima timu zenye kutandaza soka uwanjani zitafute namna ya kudeal na kupaki basi manake huu mchezo umekuwa ukiziumiza timu nyingi nzuri,mtu analinda goli muda wote halafu anakupiga kwenye matuta,hii sio fair!ningechukia kama Chile wangepita kwa soka ya kulinda goli 24/7.hongera Brazil,but..120 minutes of struggling to score?!napata mashaka!anyway,labda sababu ya treni la Chile!let's wait and see.
Haha mkuu tusheherekee leo ya uholanzıı achana nayoo!!
brazil ya sasa hivi inatia kinyaa...
Haha Ant-Brazıl mnachonga asee!!mkuu tımu ganı wewe au U.S.A?
Crazil wanakosa penati yao ya 4
Ule utabiri wako umeota mbawa,vipi Colombia na Uruguayi,nani atakutana na Brasil robo fainali?haya twende kazi ya utabilihaya bana afadhali wameenda maaana maaandamano yaneaanza kesho
#TeamBrazil....waliokuwa wanaminya kende 🙂🙂 wakati wa penalties wanyooshe vidole juu.....What a drama!!!! Dah!!!!
Tafuteni chumba chenu....Ndaga, nalolii fyijo.
labda kuna game nyingine alikuwa anaangalia tofauti na tuliyokuwa tunaiona wengineJuvu ujue nakuheshimu mno sasa ukitoa comment km hizi sijui nikuelewaje???nani alipaki basi....Chile wameweka tempo game yote na wameshika viuongo vyote...penalties ni matokeo tu
Wamebahatisha ,Mpira kwa matokeo yake unayajua?!? Kushinda, kushindwa ama droo!! Sasa Brasil wamefanyaje?!
Leo nimekubali Webb ni refa mzuri. Natamani angekukwa refa wa mechi kati ya Ivory Coast na Greece
Chile kwao haooo
Ule utabiri wako umeota mbawa,vipi Colombia na Uruguayi,nani atakutana na Brasil robo fainali?haya twende kazi ya utabili
Wacha hizo...Sababu Tanzania hatushiriki;team yangu WC hii ni USA