World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Yah mkuu bora utoke kwa penalt ila sio zile dk 30 za extra time
Hizi dk 30 ni ngumu sana kucheza....fikiria pressure ile ya game dk 90 alafu dk za nyongeza upigwe dk ya 20...ujue wanapaki basi na game inakuwa imeisha.nI Bora kwenda penalties mjue moja
 

Hata huko waendapo lazima tu watakutana na wagumu zaidi kwani baada ya hapa watakutana na Uruguay au Colombia wote wanatoka huko chini
 
Ule utabiri wako umeota mbawa,vipi Colombia na Uruguayi,nani atakutana na Brasil robo fainali?haya twende kazi ya utabili

Hahaaaa ulinisema Dakika 90, 120 na penalties ni za Brazil hongera sana.
 
Leo ulipotea sana sio kama jana.
Ila hongera #TeamBrazil .
Mimi nilikuwa nimejiwekea BOUNTY ya miezi 7 kama Chile watashinda nilikuwa na hali mbaya sana kwani watu walikuwa wananikumbushia BAN

haha we penda kuomba ban hadi hili kombe liishe unaweza kumbana nayo na mi sitaki kukupoteza
 
Juvu ujue nakuheshimu mno sasa ukitoa comment km hizi sijui nikuelewaje???nani alipaki basi....Chile wameweka tempo game yote na wameshika viuongo vyote...penalties ni matokeo tu

Extra mkuu!extra time uliona mpira wa Chile au ndio kuzidiwa!extra time wamepaki basi 24/7,anyway,labda nilikuwa desperate kuona Brazil wakifunga goli,manake i'm team Brazil kwa kweli,nideclare interest na kukupa pole kama nimekuumiza bhana teh teh,Chile wamejitahidi kwa kweli,haya kunjua huo mdomo usininunie bhana ha ha haa!hii game ilikuwa emotional sana.
 
Lol!!!!! Hahahahahahaha kama ulikuwa unaniona 🙂🙂 nina ukelele wangu wa ushindi nikiutoa mtaa mzima wanasikia lol!!!!.....nimeruka sana tu maana pressure ilikuwa si ndogo.

BAK nakuona hapo unavyoruka ruka kufurahia umewahi kula lakini?



TEAMbrazil
 
Mpira ungekuwa hivyo...Spain asingekalishwa na Chile, na Italia asingekalishwa na Costa Rica!!

kwani spain walikuwa wazuri kumzidi chile au unaangalia jina? hao spain 2010 si walifungwa 1 bila na hao hao chile spain ni wabovu kama hii brazil ya sasa na wakikutana na holland kitawatokea kama yale ya spain
 
Washukuru Neymar na Ceser,la sivyoooo ungepewa sabatical leave hivi hivi,mara ya pili usirudie

For Brazil am ready to even get a One year BAN that will not be pulled off by apologies.
In 2010 I never watched the World Cup after it was eliminated so this time am throwing all I got for it
 
...labda kuna bara jipya limeanzishwa ambalo halijatangazwa rasmi, bara hilo ndiko kulikokuwepo hiyo nchi ya Crazil lol!!!!

hii timu uloiandika ni kutoka bara gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…