World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13


Vizuri sana leo Presha ilikuwa kubwa sana kwangu kwani huku BAN huku Brazil
 
Hahahahahaha tumeumia ila nilikuwa najua ushindi lazima, Mungu hawezi kutuacha wala kutuvua nguo kwetu hasa kipindi hiki. Pole naona umejiokoa na ban

Asante mkuu leo ningechezea Miezi 7 pamoja
 
Uruguay itashinda hii game, japo siwapendi hawa. Colombia mapouda watafungasha kurudi kwao. Nawatakia usiku mwema wote.
 
Wazo zuri ngoja nilifanyie kazi oya colombia na uruguay bado tu? Nataka nikirudi hapa kipindi cha pili nijue nani mpinzani na nani mdau mwenzangu.

#team Colombia hapa, siwezi kushabikia timu yenye mchezaji Zombie
 
pole mkuu ila ndo ivyo ushapita kwa leo, vipi kesho kati ya uholanzi na mexico utakua upande upi ili tutaftane tena?

Kesho nitakuwa kwa Netherlands nataka wakutana ne Brazil huko mbele walipize machungu ya 2010
 
Haya mlioko live hebu tupieni updates mkizingatia dk na magoli kwa kila timu na ikiwezekana na vitukio vya hapa na pale kama labda kuna mtu katysoniwa mguu, mkono, sikio ama kiungo chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…