HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
teh teh teh, ukiwa na presha unashauriwa uachane kabisa na hizi makitu zinaitwa mpira wa miguu unaweza kata mawasiliano ya mwili na roho kabla ya siku yako. Hizi zinatufaa sisi tunaojua mpira una matokeo mawili hasa ktk kipindi hiki cha mtoano yaani kuna kupigwa na kupiga, hakuna cha droo ohooo.
Vizuri sana leo Presha ilikuwa kubwa sana kwangu kwani huku BAN huku Brazil