Yule zombie hata kama mchezaji wa timu yako utamchoka tu.
Kwa Roben atafungika tuKipa wa Mexico unamjua?Holand wana Kazi
dah mkuu hili limezidi ubora asee kwa mtazamo wanguLimefanana na la Tim cahill wa Australia
For Brazil am ready to even get a One year BAN that will not be pulled off by apologies.
In 2010 I never watched the World Cup after it was eliminated so this time am throwing all I got for it
Hili goli hatari dah!
dah mkuu hili limezidi ubora asee kwa mtazamo wangu
Mpira ni zaidi ya kipaji...bonge la goli.
Lipi hilo mkuu? Hili la Colombia?
Daaah nampenda commentator alivyoongelea hii kitu
Huyu dogo lazima watamtaka tu. Ameshafikia record ya kufunga mecho zote nne
rodrigez wa colombia anaandika goli la kwanza hapa
colombia 1 uru 0 dk 28
Kweli maana anaweza kuja kutafuna hata familia yake.Jamaa wanataka wakampime maana anaweza asiwe mzima huyu
Kusema ukweli goli la Rodriguez nimelipenda sana ni kati ya magori bora kabisa
Pamoja sana mkuu, tupia updates basi za gemu la muda huu au vipi?
ikitokea wanatolewa,aiseee sijui itakuwaje?ila hawatatolewa naamini.Agreed, but in football anything is possible....it'd be a huge upset.
mkuu anacheza ligi gani huyu kijana?
Inawezekana penyewe kapigia nje ya box