Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya goli la RVP nikawa najiuliza lini tena nitaona goli murua
Asante Rodriguez
Serie A/Itally.... timu ya Fiorentina
Baada ya goli la RVP nikawa najiuliza lini tena nitaona goli murua
Asante Rodriguez
Bubu, kina amigo safari hii wazuri bana.
Gemu ya kesho Uholanzi haina nafuu yoyote....
Daaah nampenda commentator alivyoongelea hii kitu
Huyu dogo lazima watamtaka tu. Ameshafikia record ya kufunga mecho zote nne
tayari kitu kimelia yule dogo anatabiriwa kuwa mchezaji bora wa mashindano kashapiga goli la 4
colombia 1 uru 0 dk 28
Dah!huyu Cuadrado tungemlipia mahari kabla ya WC!hapa ndo tumemkosa tena.
tayari kitu kimelia yule dogo anatabiriwa kuwa mchezaji bora wa mashindano kashapiga goli la 4
colombia 1 uru 0 dk 28
Kweli maana anaweza kuja kutafuna hata familia yake.
Hili goli kwa kweli lishachukua award
Umeona eeeh Brazil ni kila kitu kwenye WC
Wazo zuri ngoja nilifanyie kazi oya colombia na uruguay bado tu? Nataka nikirudi hapa kipindi cha pili nijue nani mpinzani na nani mdau mwenzangu.
Ya na commentator anasema hiyo record anayo Ronaldo de Lima na Rivaldo tu. Dogo nae kaingia.
Brilliant goal. Just Brilliant
Baada ya kupaki basi wameamua kupakia abiria tu team mavempire..
Bora achukue mtu ambae si maarufu wakichukua hawa tuliowazoea watajaa vichwa
Dah!huyu Cuadrado tungemlipia mahari kabla ya WC!hapa ndo tumemkosa tena.