World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Dah!huyu Cuadrado tungemlipia mahari kabla ya WC!hapa ndo tumemkosa tena.
 
Nakubali kwamba ni wazuri kuliko miaka mingi, lakini kesho wanafungishwa virago wapende au wasipende labda refa yule wa kutoka Ecuador achezeshe mechi hiyo awabebe kama alivyowabeba Greece walipocheza na Ivory Coast.

Bubu, kina amigo safari hii wazuri bana.

Gemu ya kesho Uholanzi haina nafuu yoyote....
 
Daaah nampenda commentator alivyoongelea hii kitu
Huyu dogo lazima watamtaka tu. Ameshafikia record ya kufunga mecho zote nne

Ameingia kwenye GREATS wa WC akina Ronaldo de Lima na Rivaldo...four goals in a row c mchezo!
 
tayari kitu kimelia yule dogo anatabiriwa kuwa mchezaji bora wa mashindano kashapiga goli la 4

colombia 1 uru 0 dk 28

Bora achukue mtu ambae si maarufu wakichukua hawa tuliowazoea watajaa vichwa
 
Baada ya kupaki basi wameamua kupakia abiria tu team mavempire..
 
Brasil watawatoa Colombia kirahisi sana,incase Colombia akiingia robo fainali
 
Umeshaanza lakini hauna manjonjo kama ule wa kwanza, ila Colombia wanastahili kushinda mechi hii kwa kuangalia performance ya timu zote mbili katika mechi zao za nyuma.

Wazo zuri ngoja nilifanyie kazi oya colombia na uruguay bado tu? Nataka nikirudi hapa kipindi cha pili nijue nani mpinzani na nani mdau mwenzangu.
 
Ya na commentator anasema hiyo record anayo Ronaldo de Lima na Rivaldo tu. Dogo nae kaingia.
Brilliant goal. Just Brilliant

Kifua afu akageuka akapiga likapiga mwamba likaingia ndani. Commentator analiita the Cream, best goal of the WC, pia anasema ambae haangalii TV amekosa goal bora la kombe la dunia
 
Bora achukue mtu ambae si maarufu wakichukua hawa tuliowazoea watajaa vichwa

sana mkuu hapo umenena, we fikiri akurupuke mtu kama cr7 eti achukue zawadi si atakojolea watu kwenye jukwaa? Bora kwanza ashapandishwa pipa. Au mtu kama lampad, gerald, tery oyoyoyooo ni taabu tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…