palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
Falcao angeimaliza mechi hii siku nyingi sana
chezea kutoka wewe..Uruguay wameshachanganyikiwa sasa, wanacheza rafu mbaya sana, utamu na aliye bench kajipatia yellow card yake kwa ukuda wake.
Huyu kipa wa Colombia mzuri sana
hata wenger amekunwa sana na huyu james rodriguez
Kipa wa Colombia mzuri aisee.anaokoa goli tena.Fred Guarin in,Cuadrado out!
Mwisho wa Brazil ni robo fainal wanapokutana na hawa Colombia. Nawapa nafasi kubwa sana Colombia ya kushinda hiyo gameKama kuna timu zitaisumbua Brasil kwenye hili kombe la mwaka huu basi ni timu za Amerika ya Kusini. Chile kamsumbua sana. Na South America wameingiza timu 5 kwenye super 16 kama sikosei. So Brasil has many huddles to overcome. I wish them well!!!!
Huyu kipa wa Colombia mzuri sana
Nipo mkuu. Nakuona unakeshaalong time no see you dude..
chezea kutoka wewe..
Nipo mkuu. Nachungulia chungulia siku moja moja humuwapi rejao mbona umepotea kiasi hicho. well come back!
Nipo mkuu. Nakuona unakeshaa