World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Colombia wameibana Uruguay pabaya.hawataki Uruguay wakae na mpira,wanakaba watatu watatu ilimradi wawanyime Uruguay possession.
 
hata wenger amekunwa sana na huyu james rodriguez

_75914786_wenger.jpg
 
Uruguay without Suarez ni dhaifu sana,wame-panic wanacheza rafu zisokuwa na maana waangalie wakipunguzwa uwanjani wataaga mashindano kwa aibu ya kufungwa magoli mengi...Suarez nae kitendo alichokifanya kumng'ata Machellin kinai-cost nchi yake sijui huko aliko anajisikiaje.
 
Hahahaha umenichekesha sana mie william alivokosa goli tu kiroho kikapaa sasa basi ikabidi nisimame hadi kumaliza nkarukajeeeer

nahisi hawa brazil sio wale wa shirikisho kwani hawa ni kiainaaina tu wanashinda..
 
andate weka laki 1 mm naweka laki 2 Colombia anamchapa Brazil Ijumaa
 
Last edited by a moderator:
Namsifu Cuadrado ambaye hakuwa mchoyo.ilikuwa rahisi kwake kuwa tempted kupiga mpira wavuni wakati mpira ule ulimjia toka direction mbaya,lakini akaupiga kwa kifua kumsukumia Rodriguez aliyekuwa kwenye nafasi nzuri zaidi.mastraika wetu Africa wanalo la kujifunza hapa.

Wanajifunzaga basi...!
 
Naona kama miujiza hivi Italy na England walifungwaje na hawa mbweha wa uruguay?
 
Back
Top Bottom