Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ile gambani na kugeuka nao afu kuachia bunduki kama ile ni muujiza...don't take it easy! Ile ni superb turn.
Goli la 5 kibindoni mwa Rodriguez
Huwa simsifii mtu ilimradi hebu angalia move ya hili goli la pili Rodriguez is the best huyu jamaa na bet kwenye challenge ya golden boot
Hehe anajitahidi
5 in 4
Sasa wanaotaka mnunua waanze kujipanga
Assist anazo 4
Nilikuwa very calm wakati wote wa dakika 120, pressure ilianza kupanda baada penalties kuanza...Duh!!!! unahisi kama moyo unataka kuchomoka lol!!!! Penalty ya mwisho ya Chile karibu nizime TV hahahahahaha.....I am very glad that we're through to the next stage, but they have to play better than today in order to advance further.
Vampires leo wanakula nyingi sana