World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mkuu ile gambani na kugeuka nao afu kuachia bunduki kama ile ni muujiza...don't take it easy! Ile ni superb turn.

Nimemkubali sana dogo kwa hilo,kawanyanyua tena jamaa!!!akitoka hapo atagombaniwa na tim kubwa za ulaya
 
Huwa simsifii mtu ilimradi hebu angalia move ya hili goli la pili Rodriguez is the best huyu jamaa na bet kwenye challenge ya golden boot
 
Huyu dogo anapanda dau leo leo,
Ila kiukweli yuko poa sana
 
Namsifu Cuadrado ambaye hakuwa mchoyo.ilikuwa rahisi kwake kuwa tempted kupiga mpira wavuni wakati mpira ule ulimjia toka direction mbaya,lakini akaupiga kwa kifua kumsukumia Rodriguez aliyekuwa kwenye nafasi nzuri zaidi.mastraika wetu Africa wanalo la kujifunza hapa.
 
Kwahiyo Kigoma cha Uruguay kinaaga mashindano, Aisee kweli WC hii ni kantangaze
 
Nilikuwa very calm wakati wote wa dakika 120, pressure ilianza kupanda baada penalties kuanza...Duh!!!! unahisi kama moyo unataka kuchomoka lol!!!! Penalty ya mwisho ya Chile karibu nizime TV hahahahahaha.....I am very glad that we're through to the next stage, but they have to play better than today in order to advance further.


Hahahaha umenichekesha sana mie william alivokosa goli tu kiroho kikapaa sasa basi ikabidi nisimame hadi kumaliza nkarukajeeeer
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kudadeki Leo angekuwepo my super vampire angemtafuna mtu kabisa
Asante FIFA kumuepusha Suarez na kesi ya mauaji leo
 
Cavani sio mshambuliaji mzuri, na timu iliyo nyuma yake ni tatizo
 
Back
Top Bottom