World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

aliumia hajashiriki kabisa haya mashindano
Rejao angalia huyu pimbi,
Radamael falcao wa colombia ndo aliumia, cavani anachezea uruguay na amecheza mechi zote bila goli
 
Last edited by a moderator:
Alikuwemo vampire kwa hiyo alikua akipanua mdomo wanampisha ila ndo hivyo mchezaji mmoja wa Italy alijisahau kumpisha mjomba akamnyonya bega kidogo.

Hahahahahaha jamani suarez ni jembe langu linanpgia kazi nzuri pale Liverpool punguzeni kuliua basi!
 
"Colombia and the star of the tournament... James Rodriguez will dine at the table of eight"...!

So maneno yangu... ni commentator huyo. I like listening to these guys.
 
Colombia ndo wamefuzu ivo brazil huyo namuona to semifinal kiulaini!!
 
wangejua wangegomea mechi kama tetesi zilivyokuwa zinadai
wangegomea mechi wangepigwa ban ya miaka 10 kushiriki mpira,
suarez ni kweli amebite na dunia yote imeona ni njia tu ya kumtetea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…