Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwemo vampire kwa hiyo alikua akipanua mdomo wanampisha ila ndo hivyo mchezaji mmoja wa Italy alijisahau kumpisha mjomba akamnyonya bega kidogo.
wangegomea mechi wangepigwa ban ya miaka 10 kushiriki mpira,wangejua wangegomea mechi kama tetesi zilivyokuwa zinadai
Rejao angalia huyu pimbi,
Radamael falcao wa colombia ndo aliumia, cavani anachezea uruguay na amecheza mechi zote bila goli
waingereza wanasema afadhali walitolewa mapema maana wangevuna aibu kwa hawa colombia
Hii inamaanisha wao ni vibonde wa vibonde,hahaha kama walifungwa na kibonde mwenzao Uruguayi
Mwisho wa Brazil ni robo fainal wanapokutana na hawa Colombia. Nawapa nafasi kubwa sana Colombia ya kushinda hiyo game
Tuombe uzima Eurocup 2016,labda wataimproveItalia Prandeli alijichanganya tu.anafanya experiment kwenye WC badala ya mechi za kirafiki!
dogo anakuja liverpool vampaya anaondoka
ndo bye bye kwao sasawangegomea mechi wangepigwa ban ya miaka 10 kushiriki mpira,
suarez ni kweli amebite na dunia yote imeona ni njia tu ya kumtetea
Adiós Uruguay !!!
poa, hamna noma.
Brazil atamfunga colombia. naweka dau laki moja.
Na Italia je?wao ulikuwa hautamani wacheze usiku kucha?