World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

kumpata ni kupanda dau tu kuendana na kiwango chake

Mwe!bajeti za clubs za serie a ni mawazo matupu siku hizi mkuu.huyu Rodriguez mwenyewe wakati anatoka kwao ajenti wake alimleta Juve,akawaimbisha wee,Juve wakamkataa.leo hii hatuwezi hata kumtaja jina.life is how you make it.serie a ijiandae kunyang'anywa wachezaji kibao baada ya WC
 
"Colombia and the star of the tournament... James Rodriguez will dine at the table of eight"...!

So maneno yangu... ni commentator huyo. I like listening to these guys.

Kuna mmoja studio amenichekesha sana anasema "England still in Brazil being represented by Webb"
 
Thubutu!
Chile kawatoa kamasi ije Colombia...u r dreaming mkuu.

Chile wako vizuri kuliko Colombia sema tu leo wamekutana na wadhaifu wanaotegemea player mmoja awabebe mie ijumaa baada ya dk 90 ntakukumbusha uje urudie kauli yako!!
 

Kweli kabisa...Serie A hii siyo sawa na ile ya 90s mkuu.

Dogo ni jembe timu lazima zivunje mabenki tu...hasa hasa za England au Spain.
 
Chile wako vizuri kuliko Colombia sema tu leo wamekutana na wadhaifu wanaotegemea player mmoja awabebe mie ijumaa baada ya dk 90 ntakukumbusha uje urudie kauli yako!!

Brazil nawapenda sana na ningependa waendelee kuwepo ili michuano iendelee kunoga...ila kwa hii Colombia sidhani mkuu.
Watakalishwa tu.
 
hahaha haya mkuu ila mnashuka kituo kinachofuata na timu yenu

Mh!wala sibishi mkuu.Brazil hii nzuri ila si outstanding kama zile za nyuma.hii ni average kama ile ya Vanderlei Luxemburgo nayo ilikuwa presha tupu.
 
Ni balaa tupu world cup hii. Brazil bado bundi yupo upande wao.
 
Ikiwa imebaki siku moja kabla ya timu za Afrika hazijatupa karata zao siku ya kesho mimi naamini timu moja kutoka afrika kati ya Nigeria au Algeria lazima watinge robo fainali.. Mungu ibariki Afrika

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Umeshapiga ramli kama Simba na Yanga? Kweli kazi unayo, na sijuwi utafanyaje kama hazifiki hiyo robo fainali.
 
Mkuu uzalendo kwanza ila itabak ndoto nahisi kutolewa kwa kipigo cha aibu
 
Nigeria wakiacha uhanithi wao wa kuweka posho mbele wanaweza kuwatoa Ufaransa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…