Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Brazil wajiandae kisaikolojia,wale madon wa colombia ni noma na nusu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So Far upo sawa... Wazee wa mzigo wapitie hapa!usipate tabu mtoano utakuwa kama ifuatavyo
![]()
Leo zamu ya Mexico na Greece kuondoka!Wakasalimie kwao
hmkuu france watabeba ndoo na kuwaacha wengi mdomo waziSo Far upo sawa... Wazee wa mzigo wapitie hapa!
Heaven on Earth na DEMBA teams zenu si zimeisha aga au sasa mmechukua timu mpya ahahahahaha?
Colombia ndani ya dk90 watakuwa wamefungashiwa virago hawa!
Nigeria hana ubavu kwa France....hmkuu france watabeba ndoo na kuwaacha wengi mdomo wazi
Nigeria hana ubavu kwa France....
Hang'oki mtu,mexico leo kwaoLeo uholanz anang'0ka
Nigeria hana ubavu kwa France....
Labda kwa penati... otherwise baada ya dakika 90 Mexico wanaanza kupanga safari ya kurudi kwao..Leo uholanz anang'0ka
kwanini unaamini hivyo?Ikiwa imebaki siku moja kabla ya timu za Afrika hazijatupa karata zao siku ya kesho mimi naamini timu moja kutoka afrika kati ya Nigeria au Algeria lazima watinge robo fainali.. Mungu ibariki Afrika
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Nigeria wakiacha uhanithi wao wa kuweka posho mbele wanaweza kuwatoa Ufaransa!!
Kweli mkuu kama Nigeria wakiweka uzalendo mbele nina uhakika ufaransa hawatishi kiasi cha kutofungwa
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums