World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Haterz kama kawaida
Unapoizungumzia mexico jua uwanjani ni zaidi ya wachezaji 11 goli kuna mtu anaitwa Ochoa huyu unatakiwa kumuunganisha casillas, reina, foster, hart, ndo unampata yeye

#teamMexico all the way to the quarter stage
 
Ikiwa imebaki siku moja kabla ya timu za Afrika hazijatupa karata zao siku ya kesho mimi naamini timu moja kutoka afrika kati ya Nigeria au Algeria lazima watinge robo fainali.. Mungu ibariki Afrika

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
kwanini unaamini hivyo?
 
Nigeria wakiacha uhanithi wao wa kuweka posho mbele wanaweza kuwatoa Ufaransa!!

wewe uko tayari kufanya kazi bure? posho ni haki yao, mpira ndiyo kazi yao ni haki kudai chao mapema kwenye hizi nchi zenye viongozi washenzi!
 
Kweli mkuu kama Nigeria wakiweka uzalendo mbele nina uhakika ufaransa hawatishi kiasi cha kutofungwa


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

hizi lugha za unafiki mtaziacha lini? uzalendo ndiyo mdudu gani? mbona hata marais wanaogharimikwa kila kitu na kodi za wananchi wanalipwa posho! kwanini mnataka wachezaji ndiyo wacheze mpira bure?
 

Mexico's fans. Photograph: Xinhua /Landov / Barcroft Media
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…