Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wadau wenzangu wa mexico naomba kuwatambulisha kwenu uzi maridaaaaadi kabisa wa kijani dhidi ya uzi wa urujuani wa wapinzani mdororo
Timu maarufu ya taifa la Uholanzi leo itakutana na kizingiti Mexico.
Naamini ndio utakuwa mwisho wa safari yake.
Nimezi consider timu zote na kufikia kuiamini zaidi Mexico.
Haya tuangalie jinsi Uholanzi inavyoondoka !
MEANDU yaan Holland wafundishwe soka huwezi Kuwa seriouskaribu sana ndugu . kama kawa lazima #teamholland wafundishwe soka.
Mexico hawana ule urembo wa kuingia hadi kwenye anga za golikipa sijui mnaita 18, wao hata katikati ya uwanja wakiona upenyo wanamtumia kipa salam za kumuaga
Mexico hawana ule urembo wa kuingia hadi kwenye anga za golikipa sijui mnaita 18, wao hata katikati ya uwanja wakiona upenyo wanamtumia kipa salam za kumuaga
Mkuu leo Team Holland Wapigwe tu.
MEANDU yaan Holland wafundishwe soka huwezi Kuwa serious
Mexico hawana ule urembo wa kuingia hadi kwenye anga za golikipa sijui mnaita 18, wao hata katikati ya uwanja wakiona upenyo wanamtumia kipa salam za kumuaga
wameshaaanza atayari
Kama Costarica vile.