why....!!
Joto kali mpaka kuna cooling break,sasa kule Qatar itakuwaje?????????????????
mheshimiwa refa katumia busara za kibinadamu kuwapa pumziko kulingana na hali ya hewa, mi naona sawa tu.
HOLLAND switched 4-3-3 to 3-5-2 due to the absence of Kevin Strootman
Dah mechi nilivyotarajia sio kabisa,imepoa sana.
Na hii itawakosti sana hawa. Naona wanataka tukae sana kama jana.Afu hawa watu nao wanakosa kosa magoli wakati mie nataka mtu apigwe leo
Wakishinda Mexico najipiga ban ya shots za Tequila hadi WC iishe...Leo umechemsha chioni hao Wadachi wakipita.
Wakishinda Mexico najipiga ban ya shots za Tequila hadi WC iishe...
Imepoa au uholanzi wamepoa mkuu,mbona mexico wamechangamka tu..
Na hii itawakosti sana hawa. Naona wanataka tukae sana kama jana.