World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kule kutakuwa na sleeping break after every 15 minutes lol!!! ila kutakuwa ni msimu wa baridi lakini si baridi kihivyo

Joto kali mpaka kuna cooling break,sasa kule Qatar itakuwaje?????????????????
 
Afu hawa watu nao wanakosa kosa magoli wakati mie nataka mtu apigwe leo
 
16 bora nimejifunza kitu toka jana watu wanacheza kwa tahadhari sana
Kama uholanzi hawaamini kama wamekomaliwa mpaka sasa hivi
Chochote kinaweza kutokea hapa!
 
Hawa waholland hawajapiga hata shuti golini huyu kipa kakosa kazi sasa
 
Kaweke Bet mechi itaamuliwa na mikwaju ya penati kama ya jana.
 
Yaaani kwa mchezo huu Brazil anaipta hadi fainali kilainiiiiii
 
Back
Top Bottom