AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
kosa lenu team holland mipira mingi haianzia kiungo hivyo kupata goli itawawia vigumu sana
Inasikitisha, joto baya jamani
updates ni ngp ngp?
Sio timu zikubaliane,ni fifa ndio imempa refarii mamlaka hayo anapoona joto limezidi anammlaka ya kusimamisha mpira ndani ya dk 15 za kipindi cha kwanza au cha pili na ni dk 3,hata ikibidi ndani ya mechi moja wakapewa muda wa kupumzika na kunywa maji mala 2.Hiyo ipo kwenye sheria za Fifa
inategemeana na makubaliano ya timu zinazocheza uwanjani zikubaliane
ila haina ulazima
kijana mwenye bahati anaingia kazi mnayo
DK 75 mkuu Shardcole , hali sio njema kwa Holland
Ochoa anaokoa kinoma... Come on Wenger tunahitaji kipa wa kumreplace Fabianski.
Netherland wamefungwa kwa sababu ya hali ya joto uwanjani