World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Huyu OCHOA ni balaa, hapo anauza jina. Sijui Wenger kamuona huyu kipa.
 
Hiyo ipo kwenye sheria za Fifa
inategemeana na makubaliano ya timu zinazocheza uwanjani zikubaliane
ila haina ulazima
Sio timu zikubaliane,ni fifa ndio imempa refarii mamlaka hayo anapoona joto limezidi anammlaka ya kusimamisha mpira ndani ya dk 15 za kipindi cha kwanza au cha pili na ni dk 3,hata ikibidi ndani ya mechi moja wakapewa muda wa kupumzika na kunywa maji mala 2.
 
Robin Van Persie anatoka na nafasi yake inachukuliwa na Klaas Jan Huntelaar.

Dakika inakwenda ya 79.
 
Facts: Wasichana wa mexico ndio wasichana warembo zaidi katika michuano hii ya kombe la dunia.....
 
Back
Top Bottom