maguzumasese2005
JF-Expert Member
- May 1, 2014
- 642
- 169
LOL naona Van Magoli a.k.a glass legs kachemsha anakwepa aibu mapemaaaaaaa..
Mkuu BAK, habari za masiku?
Mwamuzi ameangalia uangukaji wa Roben na ni alipoanguka mara ya pili ndio kumeondoa uwezekano wa penalty kwani ingekuwa kukwatuliwa kwa mara ya kwanza na yule beki wa kwanza, mwamuzi angetoa penalty.
Hiyo ipo kwenye sheria za Fifa
inategemeana na makubaliano ya timu zinazocheza uwanjani zikubaliane
ila haina ulazima
Joto hilo linawasumbua wao tu?joto linawasumbua sana...
Facts: Wasichana wa mexico ndio wasichana warembo zaidi katika michuano hii ya kombe la dunia.....
Robin Van Persie anatoka na nafasi yake inachukuliwa na Klaas Jan Huntelaar.
Dakika inakwenda ya 79.
leo van persie alikua kama hayupo
10 minutes to go lol
kumbe holand tayari kashainamishwa wakuu, duh hawana bahati. vp kuna dalili ya kurudisha?
Mfa maji haish kutapatapa.Netherland wamefungwa kwa sababu ya hali ya joto uwanjani
We huoni mchezo umekuwa safi sana sasa
wapi #teamholland ?