World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Niko poa Mkuu Richard za masiku nawe Mkuu?

Mkuu BAK, habari za masiku?

Mwamuzi ameangalia uangukaji wa Roben na ni alipoanguka mara ya pili ndio kumeondoa uwezekano wa penalty kwani ingekuwa kukwatuliwa kwa mara ya kwanza na yule beki wa kwanza, mwamuzi angetoa penalty.
 
Last edited by a moderator:
Kuna katoto kamexico kanamwaga mabusu hapa hahahaaa mex rrraaha sana
 
Hawa wa america kusini wameamua kupeleka kilio ulata msimu huu!
 
kumbe holand tayari kashainamishwa wakuu, duh hawana bahati. vp kuna dalili ya kurudisha?
 
Back
Top Bottom