Toka lini umekubali ukweli wowote ule?Hii penalt sija hikubali kabisa.
...Amejaa tele kama pishi ya mchele...lete maneno Mkuu...Vipi Amigos?
teh teh teh holland kiboko ya brazil to the next step..Mexico...babajeni bye bye....
Dah mpira bana sometimes sijui ukoje
Nasikitika sana Uholanzi kupita...kwani ina maana LvG bado haanzi kazi OT..*#*#*@&