World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Yaani mwishoni kabisa ndio wauliwa hivi inauma sana hii ni mbaya sana ila na refa kamaliza na penalt
 
Inatakiwa Robben afungiwe miezi 4 kama Suarez, jamaa kazidi ku-dive
 
Tatizo la kulinda goli ndio hili, Mexico out total out. Ila hawa Neth hawatafika mbali sana
 
...Amejaa tele kama pishi ya mchele...lete maneno Mkuu...Vipi Amigos?

Refa kawabeba Wadachi!

Ila kina amigo nao wamechemsha. Mwishoni walikuwa wanacheza ku-hang on na siyo kutaka kuongeza goli.
 
What a come back!

BrUNdDuIEAAcLXa.jpg:large
 
Nilisema uhuru waliouchezea mexico kipindi cha kwanza kipindi cha pili hawataupata

Kipindi cha pili mexico wameendeshwa mpaka wametoa penati.

Mpira wa miguu ni dk 90.

[MENTION]everlenk [/MENTION] upo wapi ndugu yangu mm nashangilia ushindi hukuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom