Malcolm X5
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 1,639
- 2,752
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alijua ameshapita,alitaka kumprotect kwa ajili ya robo final.Alisahau kama mpira unadundaMexico wangekuwa na kocha wa calibre ya hata nusu ya Van Gaal wangevuka leo!Unamtoa Dos Santos dakika ya 55 kwa kazi gani?Je hujui hawa Holland wanamjua Dos Santos kwa hiyo wanajipanga 2 kumkaba?Je hujui kuwa ukimtoa unampa nafasi mchezaji mmoja wa Holland aende mbele kuongeza mashambulizi?
Matokeo ngap ngap wakuu.
Tehtehteh unaonekana Dada wa Amsterdam hehehe atalisha futari mtaa mzima Leo Robben kajiangusha mara 10 mbili kaonewa ila aliopewa sio Penalt, Weekend nikienda Sunday ligi nitawaambia vijana jiangusheni mara 10 refa moja atawapa tu Penalt nimepata somo Zuri.
Nipo My ndugu nafurahia ushindi,yaani nimeamini anaecheka mwisho ndo anakuwa kacheka sana,maana machungu yote yale ya mwanzo mwanzo yamefutika
Ole wako nikuone humu utanitambua
unabadilika any time huu mchezo hatari sana.