World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Wadutch wana bahati!, kweli mpira unadunda lakini bahati za hivi sijui kwanini wafrika huwa hatuzipatagi always ukidunda inakua on our expense.
Ref: mechi ya ivory cost vs. Greece.
 
Joe Campbell for Liverpool!Aje Liverpool acheze mpira huko Arsenal hawezi pata hata pasi 10 msimu mzima za through ball akimbie apige!Hamna mido ya uhakika pale
 
Hii thread imedoda waambie MODS waiondoe haina mashiko 🙂🙂....siku nyingine uwe na subira 🙂🙂
 
Joe Campbell for Liverpool!Aje Liverpool acheze mpira huko Arsenal hawezi pata hata pasi 10 msimu mzima za through ball akimbie apige!Hamna mido ya uhakika pale

Mkuu unataka kuniambia Anfield mnapiga pasi kuliko Emirates?
 
Wadutch wana bahati!, kweli mpira unadunda lakini bahati za hivi sijui kwanini wafrika huwa hatuzipatagi always ukidunda inakua on our expense.
Ref: mechi ya ivory cost vs. Greece.

Mkuu umenichekesha xana,hakuna bahati africa cos hatustahili bahati zenyewe,kuanzia kwa kina suley muntari,ivory coast wenyewe waliogoma kuondoka kabla hawajalipwa,hakuna patriotism kwa wachezaji wote wa africa,ni kama wanachezaga proudly tuuu.
 
WorldCup hii nzuri sana mengi yanatokea from Van Parsie kichwa kile japo tumekuja kujuwa Kumbe Van Parsie kajifunza kupiga kichwa kile kwa Arsene Wenger tulimuona Beach Ball to Colombia goli la Rodriguez na Colombia nzima kali. Chile na Brazil game nzuri tumeona mtu anangatwa Leo tumeona Cooling break nini jengine mliona WorldCup ??? kipa wa Mexico?? Mpaka sasa ni #TeamColombia .
 
Mimi pia niliamini amechemsha, lakini nilipoangalia uchezaji wa VP leo mpaka alipotolewa basi nikayakubali maamuzi ya LVG.

CV ya LVG inajulikana angalia tactics alizotumia dhidi ya Spain na leo alivyomtoa RVP wengi walijua amechemsha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…