World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hizi network provider zetu vituko kweli,huduma ya 15033 wananitumia sms sa hivi eti mexico wanaongoza kwa goal..watu wanalala bongo.
 
nic pic though..
 
Reactions: BAK
Ha Ha Ha bado unakumbuka tuu.....

Kasema ngoja ashangilie ushindi kwanza halafu ataingia hapa, utamjua tuu kwa jinsi atakavyokuwa na furaha

haha ngoja niendelee kucheki kama nitamuona.. Holland wangefungwa sidhani ka ningekumbuka
 
Mpira ulikuwa bomba sana aisee, hasa kipindi cha pili yule Arjen Robben mwache aende zake.

Jamani siamini ninachokisoma livescore kwenye simu yangu.hadi dk ya 87 ilikuwa 1-0,nimeupdate scores baada ya dk 3 tu naona 2-1,ikabidi nije kucheki reaction za wadau jf naona daah!hebu acheni utani wakuu,huu mpira ulikuwaje?
 
Joto kali sana ndo maana waka cool . Ipo kwenye mamlaka ya fifa.
 
CV ya LVG inajulikana angalia tactics alizotumia dhidi ya Spain na leo alivyomtoa RVP wengi walijua amechemsha

Tactics zenyewe kama ndo hizi za Kumnong'oneza Robben ajiangushe ndani ya 18 basi atakuwa bonge la kocha. Holland wameponea chupuchupu mwenyewe unajua. RVP ameshaumia huyo mtegemeeni kurudi december holiday fixtures
 
Mimi pia niliamini amechemsha, lakini nilipoangalia uchezaji wa VP leo mpaka alipotolewa basi nikayakubali maamuzi ya LVG.

RVP alichemsha but the way anavyoibeba timu na Holland walikuwa wanahitaji goal kocha mwingine asiyemtoa,angeongeza striker mwingine wacheze wote
 
Reactions: BAK
DonDonald tubao twenu 45 EPL kweli hapo hapo Giroud,Ozil,Walcott,Chamberlain,Sagna hahahha!Kweli Campbell atafunga hapo?Aje kwenye free scoring Liverpool
 
Kweli aisee, kaojiwa na kaonyeshwa video akakiri amedive
 
yaap kwenye pass the thru ball ili Joe Campbell akutane nazo awe anapiga tu kiurahisi!!
Man City bao 101
Liverpool bao 100
Arsenal bao 45???

Joe Campbell for Liverpool!Aje Liverpool acheze mpira huko Arsenal hawezi pata hata pasi 10 msimu mzima za through ball akimbie apige!Hamna mido ya uhakika pale

Mkuu unataka kuniambia Anfield mnapiga pasi kuliko Emirates?

Naona Kaka Malafyale anatafuta ugomvi na watu hapa.. Mtoto anarudi Emirates na atawaliza watu kila akitia mguu.
 
[video]https://v.cdn.vine.co/r/videos/B675579AB91095091585638723584_ 29e4966bade.0.4.14426520844901 61002.mp4?versionId=aseAYGvAvN pxUu.2tlVBacilLrfaYuEF[/video]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…