World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Okay back to Chile vs Australia ....Spain is gone na midebwedo yake. Tugange yajayo. Nani ni Chile tujitambue mapeeemaaaa mambo ya kuibuka Kama dengue inahuuuuu. Tangaza nia mapema
 
Za siku mkuu?
Umeona udhalilishaji huo?

Mkuu Ni nzuri tu!

Yote Haya Ni kutokana NA kuvuruga kwa misimu miwili kwa Fc Barcelona maana Barcelona ilikua NA mchango mkubwa sn kwa timu Yao ya taifa!

Wachezaji wamezeeka Hakuna mbadala basi Ni kupigwa tu!
 
Barc wengi wamezeeka tuna Kazi ya kutafutA Vijana wa Kazi
 
Okay back to Chile vs Australia ....Spain is gone na midebwedo yake. Tugange yajayo. Nani ni Chile tujitambue mapeeemaaaa mambo ya kuibuka Kama dengue inahuuuuu. Tangaza nia mapema

Naharibu usingizi kuangalia game ya australia na chile..yaani chile 4 australia 0
 
Dah hizi nyimbo za taifa za nchi nyingine utadhani watoto wa darasa la kwanza wanajifunza a,e,i,o,u . Mmeusikiliza wimbo wa taifa wa Chile ulivyo?
 
Okay back to Chile
vs Australia ....Spain is gone na midebwedo yake. Tugange yajayo. Nani
ni Chile tujitambue mapeeemaaaa mambo ya kuibuka Kama dengue inahuuuuu.
Tangaza nia mapema

Mrembo kweli ww ni sports lady! na game ya chile waiangalia?!
 
Vishabiki vya holland vinafiki...villi kuwa kimyaaaaa vimejificha chimboni Kama michepuko vile kabla holland haijafunga. heeee baada ya holland kufunga vikaibuka Kama dengue from no where kila mtu holland holland....mhh vishabiki maandazi hehehehehe
Isee kufungwa kubaya sana.
 
Daa ngoja niangalie kidogo..ila hawa freemason hawa wameisimamisha dunia kwa michuano yao hii..lols
 
Ngoja niwangalie Chile kama wataweza kuendeleza alipoishia Holland kwa Spain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…